Emmanuel Sulle na Rebecca Smalley
Mei 2015
Andiko hili ni muhtasari wa utafiti uliofanywa na watafiti kati ya mwaka 2013 na 2014 juu ya wakulima wa nje wa miwa na kipato chao katika maeneo yaliyo karibu na Kampuni ya Sukari ya Kilombero, Tanzania. Hili andiko linakusudia kutoa mrejesho kwa wahojiwa na watu wengine wanaopenda kujua masuala haya, pamoja na wadau wengine na kutoa fursa ya kupashana habari, kutoa malalamiko ya washiriki, na kuwasilisha matokeo ya utafiti na mapendekezo yetu.
(See the English version of this report)
File: Kilombero stakeholder report_Swahili Version.pdf